Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Jaji Dkt. Eliezer M. Feleshi akiongea kwenye mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa OMMS uliofanyika tar 19 Desemba, 2023
Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Balozi Prof. Kennedy G. Gastorn akiongea kwenye mkutano wake na watumishi wa OMMS uliofanyika tar 18 Desemba, 2023
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Mohamed Mchengerwa akifungua mkutano wa Baraza la Wafanyakazi
Kutoa huduma za kisheria zenye ubora kwa njia ya kuandaa Sheria, Upekuzi na Majadiliano ya Mikataba pamoja na Ushauri wa Kisheria kwa Maendeleo ya Kijamii, Kiuchumi na Kisiasa
Dira
Kuwa Taasisi yenye ufanisi, kitaaluma na kuaminika katika kutoa huduma bora zakisheria kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania