Habari

Imewekwa: Feb, 08 2019

Naibu Mwanasheria Mkuu akagua maendeleo ya ujenzi wa Ofisi

News Images

Kazi ya ukamilishaji wa ujenzi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika mjini wa Kiserikali huko Ihumwa unaendelea vizuri.Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dr. Evaristo Longopa akiwa amefuatana na watumishi wa Ofisi yake alijionea kazi mbalimbali zilizokuwa zikiendelea ambapo Injia Suma Atupele alisema kazi ilikuwa ikiendelea vema katika hatua mbalimbali