Pamoja na kufuatilia mijadala inayoendelea ndani ya Bunge, Wabunge mbalimbali wamekuwa wakimwona na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Dk. Eliezer Feleshi na kubadilishana naye mawazo na pia kuwapatia ushauri kuhusu masuala mbalimbali kama inavyoonekana pichani akiwa Mhe. Joseph George Kakunda Mbunge wa Sikonge- Tabora