Katibu Mkuu Kiongozi Dkt . Moses Kusiluka wa kwanza kushoto, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Jaji Dkt. Eliezer Feleshi wa kwanza kulia, Mkurugenzi wa Mashtaka Bw. Sylvester Mwakitalu, Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Boniphace Luhende na Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dkt. Evaristo Longopa wakiangalia maboksi yenye vifaa vya tehema mara baada ya hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika siku ya Jumatano katika Ikulu ya Chamwino Dodoma