Zoezi la Mawakili wa Serikali Kujisajili na Kujaza Taarifa Zao kwenye OAG - MIS

Imewekwa: 27 Apr, 2022

Wanasheria wa Serikali  waliopo katika Utumishi wa Umma,  mnaendelea kukumbushwa  kwamba,  zoezi la kuratibu wanasheria walioko katika  Utumishi wa Umma  hapa nchini  linaendelea. Kufuatia zoezi hilo, Wanasheria Wote mnaendelea kukumbushwa kujaza taarifa zenu kwa ukamilifu katika Mfumo   huu  wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali  ( OAG-MIS). Zoezi  hili ni  kwa mujibu wa Sheria