Wasifu

Mh. Jaji Dkt. Eliezer Mbuki Feleshi (Mb)

Mwanasheria Mkuu Wa Serikali

Mh. Jaji Dkt. Eliezer Mbuki Feleshi (Mb)

Napenda kuchukua nafasi hii kuwakaribisheni wadau wetu wote katika tovuti hii ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ambayo imeboreshwa na tunatarajia itakidhi matarajio ya watumiaji wetu ya kupata taarifa mbalimbali kupitia tovuti hii