Mshindi wa nafasi ya Urais wa Chama cha Mawakili wa Serikali kwa mwaka 2024 Bw. Amedeus Thomas Shayo kutoka Benki Kuu ya Tanzania
Mshindi wa nafasi ya Makamu wa Rais wa Chama cha Mawakili wa Serikali kwa mwaka 2024 Bi. Hellen Rwijage kutoka Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali
Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Shaaban Ramadhan Abdalla akitoa salamu kwenye Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali wa Tanzania wa Mwaka 2024 uliofanyika Jijini Dodoma
Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Balozi Prof. Kennedy G. Gastorn kwenye Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali wa Mwaka 2024 uliofanyika Jijini Dodoma
Sehemu ya Mawakili wa Serikali waliohudhuria Mkutano Mkuu wa Mawakili wa Serikali wa Mwaka 2024 uliofanyika Jijini Dodoma
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana kwenye Mkutano Mkuu wa Mawakili wa Serikali wa Mwaka 2024 uliofanyika Jijini Dodoma
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa akizindua Miongozo ya Kisheria kutoka Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwenye Mkutano Mkuu wa Mawakili wa Serikali wa Mwaka 2024 uliofanyika jijini Dodoma
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Jaji Dkt. Eliezer Feleshi akitoa maneno machahche kwenye Mkutano wa Wakurugenzi na Wakuu wa Vitengo vya huduma za kishera kutoka katika Wizara, Mamlaka na Taasisi mbalimbali za Serikali uliofanyika Dodoma
Wakili wa Serikali Mkuu na Mkuu wa Dawati la Kusimamia Daftari la Mawakili wa Serikali Bi. Neema Ringo akichangia mada kwenye Mkutano wa Wakurugenzi na Wakuu wa Vitengo vya huduma za kishera kutoka katika Wizara, Mamlaka na Taasisi mbalimbali za Serikali uliofanyika Dodoma
Mjumbe akichangia mada kwenye Mkutano wa Wakurugenzi na Wakuu wa Vitengo vya huduma za kishera kutoka katika Wizara, Mamlaka na Taasisi mbalimbali za Serikali uliofanyika Dodoma
Kutoa huduma za kisheria zenye ubora kwa njia ya kuandaa Sheria, Upekuzi na Majadiliano ya Mikataba pamoja na Ushauri wa Kisheria kwa Maendeleo ya Kijamii, Kiuchumi na Kisiasa
Dira
Kuwa Taasisi yenye ufanisi, kitaaluma na kuaminika katika kutoa huduma bora zakisheria kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania