Habari

AG KILANGI ATETA NA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA

Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora, akiwa na Makamishna wake, wamefika katika Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali jijini Dodoma... Soma zaidi

Imewekwa: Nov 14, 2019

Badirikeni au Jamii iwabadirishe- AG

Akifunga Kikao kazi baina yake na Wakurugenzi wa Idara za Sheria na Wakuu wa Vitengo vya Huduma za Kisheria, Mwanasheria Mkuu wa Serikali aliwaasa Mawakili wa Serikali na wa kujitegemea kujitafakari... Soma zaidi

Imewekwa: Nov 06, 2019

MAFUNZO MAALUM KUWA ENDELEVU-AG

Watumishi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali wapatiwa mafunzo maalum... Soma zaidi

Imewekwa: Oct 16, 2019

KAMATI YA UKAGUZI WA NDANI YASISITIZA UREJESHWAJI WA MASURUFU

Kamati ya Ukaguzi ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali imesisitiza kila mtumishi anarejesha masurufu mara baada ya kurejea... Soma zaidi

Imewekwa: Sep 05, 2019

MSISUBIRI KUSUKUMWA -DAG

Naibu Mwanasheri Mkuu wa Serikali amewataka Wakuu wa Idara na Vitengo kutimiza wajibu wao pasipo kusubiri kusukumwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali au Naibu Mwanasheria... Soma zaidi

Imewekwa: Sep 04, 2019

YALIYOJIRI WAKATI WA KIAKO CHA UTEKELEZAJI WA MPANGO KAZI

Ushirikishwaji wa utekelezaji wa Mpango Kazi wawafungua macho watumishii wengi... Soma zaidi

Imewekwa: Jul 26, 2019