Habari

Imewekwa: Nov, 01 2021

AG DKT FELESHI AKUTANA NA NAIBU SPIKA DKT. TULIA ACKSON

News Images

AG FELESHI AKUTANA NANAIBU SPIKATULIA ACKSON

Mwanasheria Mkuu wa SerikaliDkt. Eliezer Feleshi amekuwa na ziara za kikazi za kujitambulisha kwa viongozi mbalimbali wa Serikalina kubadilishana nao mawazo.

Katika mfulululizo wa ziara hizo,mwishoni mwa wiki Mwanasheria Mkuu wa Serikali, alikutanana kisha kuwa na mazungumzo na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt, Tulia Ackson.

Mazungumzo kati ya NaibuSpika Ackson na AG Dkt. Felesh iyalifanyika katika Ofisi zaNaibu Spika zilizopo katika Jengo la Bunge Jijini Dodoma