Habari

Imewekwa: May, 11 2019

Maafisa kutoka Idara ya Uandishi wa Sheria wakifuatilia mafunzo ya mfumo wa kurekodi taarifa

News Images

Mkurugenzi wa Divisheni ya Uandishi wa Sheria, Sarah Barahomoka leo amewaongoza maafisa wake katika Mafunzo ya Mfumo wa Kurekodi Taarifa.

Mafunzo hayo tayari yamekwisha kutolewa kwa Mafisa wa Idara ya Utawala na Raslimali watu, Idara ya Uhasibu, Ukaguzi wa Ndani, Manunuzi na Idara na Kitengo cha Mawasiliano .

Vile vile baadhi ya Maafisa kutoka Diviesheni ya Uratibu na Ushauri wa Kisheria na baadhi kutoka Divisheni ya Mikataba wamepata mafunzo hayo.