Habari

Imewekwa: May, 06 2019

Mfunzo ya Mfumo wa kurekodi taarifa yaendelea

News Images

Maafisa ambao wanaohuduria mfunzo kuhusu mfumo wa kurekodi taarifa, kutoka Idara za Uhasibu, Mipango, Ukaguzi wa Ndani, Mipango, Manunuzi na Mawasiliano wamekuwa na maswali mbalimbali juu ya utendaji kazi wa mfumo unaoandaliwa.

Maafisa wengi waliulizwa maswali mbalimbali ambayo yalijibiwa kwa ufasaha na mwezeshaji wa mafunzo hayo Bw. Evarist Nkwabi na mengi yalitolewa ufafanuzi na Mkuu wa Kitengo cha Tehama.

Maswali mengi yalilenga katika kuuboresha mfumo uli kukidhi baadhi ya shughuli za idara hizo.