Mwanasheria Mkuu wa Serikali ahudhuria sherehe ya 68 ya kuwapokea Mawakili wapya

Imewekwa: 11 Jul, 2023
Mwanasheria Mkuu wa Serikali  ahudhuria sherehe ya 68 ya kuwapokea Mawakili  wapya

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Jaji Dkt, Eliezer Mbuki Feleshi alikuwa mmoja wa Viongozi waliohudhuria shere ya 68 ya kuwakubali na kuwapokea  mawakili wapya 195.

Shere hiyo ilifanyika  Julai 6/2023  katika Viwanja vya Karimjee  Jijini Dar es Salaam ambapo  Mgeni  rasmi alikuwa ni  Jaji Mkuu wa Tanzania

kupokelewa wa Mawakili hao 195 kunafanya idadi ya Mawakili kufika 11,637