Habari

Imewekwa: Oct, 18 2021

Mwanasheria Mkuu wa Serikali alipokutana na Waziri Mkuu

News Images

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dkt. Eliezer Feleshi, mwishoni mwa wiki amekuta na kisha kuwa na mazungumzo na Waziri Mkuu, Mhe, Kassim Majaliwa . Mazungumzo kati ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Mhe. Waziri Mkuu yalifanyika katika Ofisi za Waziri Mkuu zilizopo Mlimwa, Jijini Dodoma