Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali afanya mazungumzo na Kaimu Mratibu wa SADC-RCTC

Imewekwa: 31 May, 2023
Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali  afanya mazungumzo na  Kaimu Mratibu wa  SADC-RCTC

Naibu  Mwanasheria Mkuu wa Serikali  Dkt. Evaristo Longopa akiwa  katika picha ya pamoja na  Kanali Mumbi Mulanga, Kaimu Mratibu wa Kituo cha Kupambana na  Ugaidi cha  Jumuiya ya  Maendeleo ya  Nchi za Kusini  mwa Africa ( SADC- RCTC) mara baada ya mazungumzo yao yaliyolenga zaidi kuhusu  majukumu ya  Kituo hicho ambacho  Makao Makuu yake  yapo Mkoani Dar es Salaam -Tanzania. Mazungumzo hayo yalihudhuriwa pia na  Mkurugenzi wa Divisheni ya Uratibu na Ushauri wa Kisheria Dkt. Gift  Kweka  na  Maafisa  Kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na  Ushirikiano  wa Kimataifa na  SADC-RCTC) Mazungumzo hayo yamefanyika leo  Mtumba Dodoma.