Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Kitengo cha Uhasibu na Fedha

Kitengo hiki kinahusika na usimamizi wa Fedha na Huduma za Uhasibu unaozintatia  Ubora na Thamani ya Fedha katika Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali.