TEHAMA
Majukumu ya Kitengo
Kitengo kinahusika na uendelezaji na uratibu wa Menejiment ya Mifumo ya Komputa pamoja na mifumo mengine ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali
pamoja na kushughulikia masuala yote yanayohusiana na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano