Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
Kitengo kinahusika na Udhibiti wa Matumizi ya Fedha na Raslimali za Serikali katika Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kulingana na taratibu, kanuni na miongozo mbalimbali ya Serikali
Kitengo kinaongozwa na Mkaguzi Mkuu wa Ndani