Kitengo cha Manunuzi
Kitengo kinahusika na Udhibiti wa matumizi ya Fedha na Raslimali za Serikali katika Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika ununuzi wa vifaa na huduma mbalimbali kwa kuzingatia
Sheria ya Ununuzi wa Umma namba 21 ya mwaka 2004 na kanuni na taratibu zilizowekwa