Mwanasheria Mkuu wa Serikali ahudhuria sherehe ya 68 ya kuwapokea Mawakili wapya

Julai 6/2023 Jumla ya Mawakili wapya 195 walipokelewa na kukubaliwa katika sherehe ya 68 iliyofanyika katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam