ZIARA YA WAZIRI MKUU KUKAGUA UJENZI WA OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI -MTUMBA

Julai 3.2023 Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa alifanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa majengo ya serikali na taasisi katika mji wa serikali Mtumba- Dodoma