Upekuzi wa Mikataba
Kwa mujibu wa Hati ya Idhini ya Maboresho ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Tangazo la Serikali Na.48 la Mwaka 2018 ,Ofisi hii inatekeleza majukumu yafuatayo kupitia Idara ya Mikataba na Makubaliano
- Kuishauri Serikali juu ya masuala yote ya kisheria ikiwemo Mikataba ya Kimataifa ambayo Tanzania ni sehemu ya Mkataba ama ina maslahi katika Mkataba hiyo.